2 Samuel 13:37-38

37 aAbsalomu akakimbia na kwenda kwa Talmai mwana wa Amihudi, mfalme wa Geshuri. Lakini Mfalme Daudi akaomboleza kwa ajili ya mwanawe kila siku.

38 bBaada ya Absalomu kukimbia na kwenda Geshuri, akakaa huko miaka mitatu.
Copyright information for SwhKC